• HABARI MPYA

  Friday, April 07, 2017

  KLITSCHKO ANAVYOJIFUA KWA AJILI YA JOSHUA KAZI IPO WEMBLEY APRILI 29

  Bondia Wldamir Klitschko akiwa amebeba vyumba vya kilogramu 32 katika mazoezi yake ya gym kwenye kambi yake ya mazoezi hoteli ya Stanglwirt, milima ya  Alps, Austria kujiandaa na pambano lake la uzito wa juu dhidi ya Anthony Joshua Uwanja wa Wembley, London, Aprili 29 mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KLITSCHKO ANAVYOJIFUA KWA AJILI YA JOSHUA KAZI IPO WEMBLEY APRILI 29 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top