Wachezaji wa Arsenal wakimlalamikia refa kwamba Harry Kane alijirusha baada ya kugongana na wachezaji wa Arsenal ili apewe penalti, ambayo alikwenda kuipiga mwenyewe na kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 58 ikishinda 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane, London. Bao la kwanza lilifungwa na Dele Alli dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment