Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akifurahia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 12 na 61 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Osasuna usiku wa leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Andre Gomes dakika ya 30 na 57, Paco Alcecer dakika ya 64 na 86 na Javier Mascherano kwa penalti dakika ya 67 na la Osasuna limefungwa na Roberto Torres dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
56 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment