Nacho Monreal wa Arsenal akikimbia kushangilia baada ya shuti lake kumbabatiza beki wa mabingwa watetezi, Leicester City, Robert Huth na kujifunga dakika ya 86 kuwapatia Washika Bunduki wa London bao pekee la ushindi wa 1-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment