Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  MAN CITY YAIPA 3-1 HULL CITY ETIHAD

  Fabian Delph akishangilia na Leroy Sane baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa Etihad leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Ahmed El Mohamady aliyejifunga dakika ya 31 na Sergio Aguero dakika ya 48, wakati la Hull limefungwa na Andrea Ranocchia dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPA 3-1 HULL CITY ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top