• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  4-0 SPURS YAITUNDIKA WATFORD WHITE HART LANE

  Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham mabao mawili dakika za 44 na 54 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Watford Uwanja wa White Hart Lane, London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Dele Ali dakika ya 33 na Eric Dier dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 4-0 SPURS YAITUNDIKA WATFORD WHITE HART LANE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top