• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  GRIEZMANN AIPOKONYA TONGE KINYWANI REAL MADRID, SARE 1-1 BERNABEU

  Antoine Griezmann akiteleza kuiwahi pasi ya Angel Correa kumtungua kipa Keylor Navas wa Real Madrid kuisawazishia Atletico Madrid dakika ya 85 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Real walitangulia kwa bao la Pepe dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AIPOKONYA TONGE KINYWANI REAL MADRID, SARE 1-1 BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top