Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  DAKIKA MBILI TU COUTINHO NA FIRMINO WAIPA USHINDI LIVERPOOL

  Roberto Firmino akishangilia na Mbrazil mwenzake, Philippe Coutinho baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 72 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Stoke City leo Uwanja wa Bet365, Stoke-on-Trent, Staffordshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa Coutinho dakika ya 70, baada ya Jonathan Walters kuwafungia wenyeji dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: DAKIKA MBILI TU COUTINHO NA FIRMINO WAIPA USHINDI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top