• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  CHELSEA YAIFUMUA 3-1 BOURNEMOUTH VITALITY

  Diego Costa (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake, Eden Hazard baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika 20 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth leo Uwanja wa Vitality katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Adam Smith aliyejifunga dakika ya 17 na Marcos Alonso dakika ya 68 wakati la wenyeji lilifungwa na Josh King dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIFUMUA 3-1 BOURNEMOUTH VITALITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top