• HABARI MPYA

    Sunday, September 11, 2016

    TETEMEKO LA NYAVU UGANDA, ZANZIBAR WAPIGWA 10-1 NA BURUNDI CHALLENGE

    Wachezaji wa Burundi wakishangilia baada ya kuifunga mabao 10-1 Zanzibar katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ya Wanawake, michuano iliyoanza leo nchini Uganda.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TETEMEKO LA NYAVU UGANDA, ZANZIBAR WAPIGWA 10-1 NA BURUNDI CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top