WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Copco FC ya Mwanza katika mchezo wa Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB leo Uwanja wa Airtel mjini Singida.
Mabao ya Singida Black Stars katika mchezo huo wa Hatua ya Timu 64 yamefungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 19, Linda Mtange dakika ya 28 na Yusuph Khamis dakika ya 75 wakati la Copco limefungwa na Rashid Kishiwa dakika ya 81.

.png)
0 comments:
Post a Comment