WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Endument FC ya Kilimanjaro Katina mchezo wa Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB leo Uwanja Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Bao pkee la Azam FC katika mchezo huo wa Hatua ya Timu 64 limefungwa na beki Muivory Coast, Landry Zouzou kwa penalti dalika ya 48.
Bao pkee la Azam FC katika mchezo huo wa Hatua ya Timu 64 limefungwa na beki Muivory Coast, Landry Zouzou kwa penalti dalika ya 48.

.png)
0 comments:
Post a Comment