• HABARI MPYA

  Sunday, September 11, 2016

  COSTA AINUSURU CHELSEA KUCHAPWA SWANSEA, YAPATA SARE 2-2

  Mshambuliaji Diego Costa wa Chelsea (19) akishangilia na wachezaji wenzake, Victor Moses na Branislav Ivanovic baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 81 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Liberty mjini Swansea. Costa pia alifunga bao la kwanza la Chelsea dakika ya 18, wakati mabao ya Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 59 na Leroy Fer dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COSTA AINUSURU CHELSEA KUCHAPWA SWANSEA, YAPATA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top