• HABARI MPYA

  Wednesday, September 14, 2016

  MESSI AGONGA HAT TRICK, BARCELONA YAITANDIKA 7-0 CELTIC ULAYA

  Wakali watatu wa Barcelona kutoka kushoto Neymar, Lionel Messi na Luis Suarez wakishangilia hat-trick ya Messi katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Celtic kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Neymar, Iniesta na Suarez mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AGONGA HAT TRICK, BARCELONA YAITANDIKA 7-0 CELTIC ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top