• HABARI MPYA

  Tuesday, September 13, 2016

  LUKAKU AMALIZA UKAME WA MABAO KWA HASIRA, APIGA HAT TRICK EVERTON YAICHAPA 3-0 SUNDERLAND

  Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Everton tangu Machi katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Sunderland usiku wa jana. Everton ilishinda 3-0 Uwanja wa Light, mabao yote akifunga Lukaku dakika za 60, 68 na 71  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AMALIZA UKAME WA MABAO KWA HASIRA, APIGA HAT TRICK EVERTON YAICHAPA 3-0 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top