Wachezaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) na Neymar (kulia) wakilalamika baada ya timu yao kufungwa mabao 2-1 nyumbani Uwanja wa Camp Nou na Alaves iliuopanda La Liga msimu huu. Mabao ya Alaves yalifungwa na Deyverson na Ibai Gomez wakati la Barca lilifungwa na Jeremy Mathieu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ismaila Sarr nets fastest goal as Crystal Palace close in on European final
-
Sarr scored after just 21 seconds against Shakhtar to help put Palace in
the driving seat.
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment