• HABARI MPYA

  Sunday, September 11, 2016

  RONALDO AREJEA NA SHANGWE ZA MABAO REAL MADRID YAUA 5-2 LA LIGA

  Mwanasoka bora wa Ulaya, Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Gareth Bale baada ya kufunga katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Osasuna kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao ya Real yalifungwa na Ronaldo dakika ya sita, Danilo dakika ya 41, Ramos dakika ya 45, Pepe dakika ya 56 na Modric dakika ya 62, wakati ya Osasuna yalifungwa na Riera dakika ya 64 na David Garcia dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AREJEA NA SHANGWE ZA MABAO REAL MADRID YAUA 5-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top