• HABARI MPYA

    Thursday, August 04, 2016

    JEZI ZOTE ZA KILA YA LIGI KUU MSIMU UJAO HIZI HAPA



     Wanamitindo wakionyesha jezi za Yanga SC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu zote za ligi kutoka kwa wadhamini, Vodacom Tanzania iliyofanyika leo mjini Dar es Salaam

     Wanamitindo wakionyesha jezi za Azam FC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
     Wanamitindo wakionyesha jezi za Mbeya City watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
     Wanamitindo wakionyesha jezi za Simba SC watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu
    Wanamitindo wakionyesha jezi za Toto Africans watakazotumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao katika hafla iliyofanyika leo mjini Dar es Salaam  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JEZI ZOTE ZA KILA YA LIGI KUU MSIMU UJAO HIZI HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top