Nahodha wa Azam FC, John Bocco akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Yanga, Mtogo, Vincent Bossou katika mchezo wa Ngao ya Jamii jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam ilishinda kwa penalti 4-1 baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90
Haruna Niyonzima wa Yanga akimtoka kiungo mwenzake wa Rwanda, Jean Baptiste Mugiraneza wa Azam FC
Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akimtoka beki wa Yanga, Hassan Kessy
Beki wa Azam FC, Ismail Adam akimtoka kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi
Mshambuliaji wa Azam FC, Mzimbabwe Francesco Zekumbariwa akiwatoka wachezaji wa Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma akimtoka Ismail Adam wa Azam
Hassan Kessy wa Yanga kulia akijivuta kuufuata mpira baada ya beki wa Azam FC, David Mwantika kuanguka
Wachezaji wa Yanga na Azam wakigombea mpifra; Kutoka kulia Mwinyi Hajji Mngwali, Salum Abubakar 'Sure Boy', Juma Mahadhi na Ismail Adam
Kikosi cha Yanga kilichoanza katika mchezo wa jana
Kikosi cha Azam FC kilichoanza katika mchezo wa jana
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment