• HABARI MPYA

    Wednesday, August 03, 2016

    AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA JKT RUVU CHAMAZI

    Viungo wa Azam FC, Kipre Balou (kulia) na Mudathir Yahya (kushoto) wakimpongeza beki wao, Aggrey Morris baada ya kufunga bao ka kuongoza kwa penalti katika sare ya 1-1 na JKT Ruvu kwenye mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Bao la JKT Ruvu lilifungwa na Atupele Green
    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe (kushoto) akipiga krosi baada ya kuingia kipindi cha pili
    Kiungo Mudathir Yahya (kulia) akimtoka beki wa JKT Ruvu
    Beki Aggrey Morris akipiga krosi mbele ya beki wa JKT Ruvu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA JKT RUVU CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top