• HABARI MPYA

  Thursday, May 05, 2016

  YANGA YAINGIA KAMBINI TIFFANY KUJIANDAA NA WAANGOLA

  Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akiwasili na wachezaji wenzake hoteli ya Tiffany, Dar es Salaam Jumatano kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Sagrada Esperanca ya Angola Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAINGIA KAMBINI TIFFANY KUJIANDAA NA WAANGOLA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top