• HABARI MPYA

  Thursday, May 05, 2016

  NI FAINALI YA MAHASIMU WA MADRID, REAL YAITUPA NJE MAN CITY

  Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akipiga shuti linalombabatiza beki wa Manchester City, Fernando na kuipatia timu yake bao pekee la ushindi Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Real Madrid inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 1-0 baada ya awali kutoa sare ya 0-0 mjini Manchester na sasa watakutana na mahasimu wao, Atletico Madrid Uwanja wa San Siro mjini Milan Mei 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI FAINALI YA MAHASIMU WA MADRID, REAL YAITUPA NJE MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top