• HABARI MPYA

  Wednesday, May 11, 2016

  YANGA 'ILIVYOUPAKA RANGI' UBINGWA WAKE SOKOINE JANA

  Beki wa Mbeya City, Haruna Shamte akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Yanga ilishinda 2-0
  Beki wa Mbeya City, Tumba Luis Swedi akiudhibiti mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma jana
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akinyoosha mguu kuuzuia mpira unaopigwa Tumba Lui Swedi wa Mbeya City
  Winga wa Yanga, Simon Msuva akitoa pasi mbele ya beki wa Mbeya City, Hassan Mwasapili
  Donald Ngoma wa Yanga akipasua katikati ya wachezaji wa Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine
  Refa Jimmy Fanuel wa Shinyanga akizungumza na wachezaji wa timu hizo jana kuwaoa maelekezo ya maamuzi yake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA 'ILIVYOUPAKA RANGI' UBINGWA WAKE SOKOINE JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top