• HABARI MPYA

  Sunday, May 01, 2016

  TOTO LA PELE LAWAPIGA MBILI LIVERPOOL WAFA 3-1 KWA SWANSEA

  Mshambuliaji wa Swansea City, Andre Ayew ambaye ni mtoto wa gwiji wa soka Afrika, Mghana Abedi Pele akishangilia baada ya kufunga mabao mawili jioni ya leo katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Liberty dakika ya 20 na 67. Bao lingine la Swansea limefungwa na Jack Cork dakika ya 33, wakati la kufutia machozi la Liverpool limefungwa na Christian Benteke dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTO LA PELE LAWAPIGA MBILI LIVERPOOL WAFA 3-1 KWA SWANSEA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top