Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, May 05, 2016

  SHUGHULI YA FARID MUSSA KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa malik (kulia) akiichezea Deportivo Tenerife mchezo wa kirafiki jana klabu hiyo ya Daraja la Kwanza Hispania katika majaribio yake ya mwishio kabla ya kuambiwa amefuzu
  Farid Mussa (kulia) akimtoka mchezaji wa timu iliyomenyana na Tenerife jana
  Farid Mussa chini akipmabana vikali jana katika mchezo huo
  Farid Mussa akipasua katikati ya wachezaji wa timu pinzani jana
  Beki wa wapinzani akienda juu kuokoa mpira dhidi ya mchezaji hatari kutoka Tanzania
  Farid Mussa (kulia) akiytafuta maarifa ya kumpokonya mpira beki wa wapinzani jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SHUGHULI YA FARID MUSSA KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top