• HABARI MPYA

    Friday, May 06, 2016

    NGASSA ANUNUA GARI LA 'KIFISADI' SAUZI

    Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa anayechezea klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini akiwa mbele ya gari lake jipya aina ya Audi Convertible mjini Bethlehem anakoishi alilonunua hivi karibuni
    Ngassa anafurahia maisha Afrika Kusini alikohamia mwaka jana baada ya miaka 10 ya kucheza Ligi Kuu ya Tanzania Bara


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGASSA ANUNUA GARI LA 'KIFISADI' SAUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top