Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Daniel Sturridge akishangilia bao lake na nyota wa Brazil, Philippe Coutinho na Firmino katika ushindi wa 3-0 wa Liverpool dhidi ya Villarreal kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Bruno Soriano na Adam Lallana na sasa Wekundu hao wa Anfield wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kufungwa 1-0 Hispania na watakutana na Sevilla katika fainali mjini Basel Mei 18
NL Central season preview: Will the Cubs or Brewers emerge as division
champs? Can the Reds and Pirates get in the postseason mix?
-
The Cardinals are in full rebuild mode but should enjoy top prospect JJ
Wetherholt's debut this season.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment