• HABARI MPYA

    Friday, May 06, 2016

    AZAM VETERANS YATOLEWA KWA MATUTA KOMBE LA JKM

    Kikosi cha Azam Veteran kabla ya mchezo wa jana wa Nusu Fainali ya michuano ya JMK Floodlight ambao walitolewa kwa penalti 4-3 na JMK-Romario Sports baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 Uwanja wa JMK, zamani Kidongo Chekundu, Dar es Salaam. Mabao ya Azam Veteran yalifungwa na Amiri Rashid 'Kikwa' na Nahodha Abdulkarim Amin ‘Popat’
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM VETERANS YATOLEWA KWA MATUTA KOMBE LA JKM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top