Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, May 04, 2016

  KIPAJI KINGINE KUTOKA 'CHIMBO' LILILOMUIBUA FARID MUSSA

  Beki wa pembeni wa Azam FC, Gardiel Michael Mbaga (kushoto) akiwa kwenye mazoezi ya timu yake jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya keo dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja huo. Gardiel alipandishwa msimu uliopita kutoka akademi ya klabu hiyo, pamoja na Farid Mussa Malik ambaye kwa sasa yuko kwenye majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Hispania

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: KIPAJI KINGINE KUTOKA 'CHIMBO' LILILOMUIBUA FARID MUSSA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top