• HABARI MPYA

  Thursday, May 12, 2016

  CHELSEA YALAZIMISHA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD, 1-1

  Kinda wa Chelsea, Bertrand Traore akipambana na mkongwe bwa Liverpool, Kolo Toure katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Bao la Liverpool lilifungwa na Christian Benteke dakika ya 93, baada ya Eden Hazard kutangulia kuifungia Chelsea dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD, 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top