Beki wa Sunderland, Younes Kaboul akishangilia na wenzake mbele ya mashabiki kufurahia timu yao kunusurika kushuka daraja kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Light. Mabao ya Sunderland yalifungwa na Patrick van Aanholt na Lamine Kone mawili . Timu zilizoshuka daraja England ni Newcastle United, Norwich City na Aston Villa, wakati Leicester City tayari wanasherehekea ubingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why this venture capitalist says AI will unleash a key problem
-
The outlook for labor is very murky because of AI.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment