• HABARI MPYA

    Tuesday, May 10, 2016

    BAO LA TAMBWE 'MLEMAVU ATEMBEA' SOKOINE

    Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe (kushoto) akishangilia na shabiki mlemavu baada ya kuifungia bao la pili timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Mbeya City jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Yanga ilishinda 2-0 na mlemavu huyo kwa furaha aliinua gongo na kuchechemea kwa mguu mmoja akimkimbilia Tambwe kushangilia naye baada ya kufunga
    Tambwe  kulia anashangilia na kushoto mlemavu naye kainua magongo yake anachechemea kwa mguu mmoja kushangilia
    Tambwe akianza kutimua mbio kwenda mashabiki kushangilia baada ya kufunga
    Tambwe akirejea uwanjani na wenzake baada ya kumaliza kushangilia

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO LA TAMBWE 'MLEMAVU ATEMBEA' SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top