• HABARI MPYA

  Saturday, April 09, 2016

  UZINDUZI WA FRESCO MIXED FRUITS NDANI YA AZAM TV

  Mashabiki Hatibu Athumani wa Yanga (kulia) na Shaaban Mohammed wa Azam FC (kushoto) wakinywa kinywaji cha Fresco Mixed Fruits kinachozalishwa na kampuni ya Bakhresa Food Products wakati wa uzinduzi wake leo kwenye studio za Azam TV, Tabata, Dar es Salaam
  Hatibu na Shaaban wakifurahia kinywaji chao cha Fresco Mixed Fruits
  Meneja Mauzo na Masoko wa Bakhresa Food Product, Ibrahim Wasome, Said Hassan Sheikh Meneja Msaidizi wa Ubora wa Bidhaaa wakiwa na Mtangazaji wa Azam TV, Ahmed Abdallah
  Waandishi na mashabiki waliohudhuria uzinduzi wa kinywaji hicho leo
  Mashabiki wa Azam FC wakifuatilia uzinduzi wa kinywaji hicho
  Waalikwa mbalimbali wakifuatilia uzinduzi huo leo Tabata, Dar e Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UZINDUZI WA FRESCO MIXED FRUITS NDANI YA AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top