Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, April 28, 2016

  SIMBA YAITUMIA SALAMU AZAM, YAUA 3-0 ZOTE AWADH JUMA

  Kiungo wa Simba, Awadh Juma usiku wa jana amefunga mabao yote matatu Uwanja wa Amaan, Zanzibar timu yake ikishinda 3-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mafunzo. Simba imeweka kambi Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Jumamosi, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SIMBA YAITUMIA SALAMU AZAM, YAUA 3-0 ZOTE AWADH JUMA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top