• HABARI MPYA

  Saturday, April 23, 2016

  MAPOZI MENGINE YA ERASTO NYONI, NI KUVUNJANA MBAVU TU!

  Beki wa Azam FC, Erasto Edward Nyoni (kushoto) akiwa kwenye ndege jana usiku wakati wa safari ya kwenda Mwanza. Kulia ni kiungo wa timu hiyo, Ramadhani Singano 'Messi'. Azam FC imepitia Mwanza kuunganisha usafiri wa basi kwenda Mwadui kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup kesho Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAPOZI MENGINE YA ERASTO NYONI, NI KUVUNJANA MBAVU TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top