Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, April 27, 2016

  SIMBA WA VITA, MZEE KAWAWA NA MASHUJAA WA TANZANIA LAGOS 1973

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais, Rashid Mfaume Kawawa (katikati, sasa marehemu) maarufu kwa jina la Simba wa Vita enzi za uhai wake, akiwa na wanamichezo wa Tanzania waliofanya vizuri kwenye Michezo ya Afrika (AAG) mwaka 1973 mjini Lagos, Nigeria – bondia Habib Kinyogoli ‘Master’ (kulia) aliyetwaa Medali ya Shaba na mwanariadha Filbert Bayi aliyeshinda Medali ya Dhahabu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SIMBA WA VITA, MZEE KAWAWA NA MASHUJAA WA TANZANIA LAGOS 1973 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top