• HABARI MPYA

    Saturday, April 09, 2016

    WAZIRI NAPE AONDOKA NAZO MWENYEWE TATU ZAKE MFUKONI

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye akionyesha vidole vitatu baada ya kuingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji, Yanga na Ahly uliomalizika kwa sare ya 1-1
    Nape akifurahia na Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia), Msemaji wa Yanga, Jerry Muro na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ayoub Nyenzi
    Nape akiwa na wadau mbalimbali wa soka leo Uwanja wa Taifa
    Waziri Nape akitembea kwa madaha jukwaa kuu baada ya kuwasili Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI NAPE AONDOKA NAZO MWENYEWE TATU ZAKE MFUKONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top