• HABARI MPYA

  Tuesday, April 26, 2016

  MANCHESTER CITY YAPATA SARE KWA REAL MADRID ETIHAD

  Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akienda baada ya kuchezewa rafu na kiungo wa Manchester City, David Silva katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad, Manchester, England usiku huu, timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na sasa zitarudiana wiki ijayo Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, Hispani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAPATA SARE KWA REAL MADRID ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top