Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 90 na ushei Mashetani Wekundu wakiwalaza 2-1 Everton katika Nusu Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Wembley, London. Marouane Fellaini alianza kuifungia United dakika ya kabla ya Romelu Lukaku wa Everton kukoa penalty kipindi cha pili na Chris Smalling kujifunga kuisawazishia ToffeesPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment