• HABARI MPYA

    Friday, April 29, 2016

    LIVERPOOL YAGONGWA KIDUDE EL MADRIGAL, SEVILLA YAPATE SARE UGENINI

    Tomas Pina (kushoto) wa Villarreal akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Philippe Coutinho wa Liverpool katika Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League usiku huu Uwanja wa El Madrigal, Villarreal nchini Hispania. Villarreal imeshinda 1-0, bao pekee la Adrian Lopez dakika ya 92 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    Roberto Soldado wa Sevilla akisikitika baada ya kukosa bao la wazi katika sareya 2-2 na wenyeji Shakhtar Donetsk Uwanja wa L'viv Arena mjini L'viv kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League. Timu hizo zitarudiana Mei 5
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAGONGWA KIDUDE EL MADRIGAL, SEVILLA YAPATE SARE UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top