• HABARI MPYA

  Thursday, April 21, 2016

  RONALDO ATOKA KAPA REAL MADRID IKIUA 3-0 LA LIGA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akienda chini baada ya kupitiwa na beki wa Villarreal, Daniele Bonera katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real imeshinda 3-0, mabao ya Karim Benzema, Lucas Vazquez na Luka-Modric PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ATOKA KAPA REAL MADRID IKIUA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top