Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, April 23, 2016

  BALE ATUPIA MBILI KWENYE KAMBA, REAL YASHINDA 3-2 LA LIGA

  Gareth Bale akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Rayo Vallecano. Bale alifunga mabao mawili, wakati lingine limefungwa na Vazquez 52 huku ya wenyeji yakifungwa na Embarba na Fedor Flores PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: BALE ATUPIA MBILI KWENYE KAMBA, REAL YASHINDA 3-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top