• HABARI MPYA

    Saturday, April 09, 2016

    RONALDO AFUNGA, REAL YARARUA MTU 4-0 LA LIGA

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak katika mchezo wa La Liga dhidi ya Eibar jioni ya leo Uwanja wa Bernabeu. Real imeshinda 4-0, mabao ya James Rodriguez, Lucas Vazquez, Cristiano Ronaldo na Jese PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA, REAL YARARUA MTU 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top