Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, April 27, 2016

  SABEBE NAYE SHAHIDI YALIYOTOKEA MKWAKWANI JUMAPILI

  Mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union, Abdallah Saleh 'Sabebe' alikuwepo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Jumapili kuishuhudia timu yake hiyo ikimenyana na Yanga SC katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Mchezo huo ulivunjika dakika ya 110, Yanga inaongoza 2-1 baada ya mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SABEBE NAYE SHAHIDI YALIYOTOKEA MKWAKWANI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top