• HABARI MPYA

  Saturday, April 30, 2016

  ARSENAL YAILAZA 1-0 NORWICH CITY LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akijaribu kumvisha kanzu bila mafanikio beki wa Norwich, Ivo Pinto katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Emirates. Arsenal imeshinda 1-0 bao pekee la Danny Welbeck PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAILAZA 1-0 NORWICH CITY LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top