• HABARI MPYA

    Thursday, April 21, 2016

    YANGA NA AL AHLY KATIKA PICHA NA VIDEO JANA CAIRO

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akipambana na beki wa Al Ahly (kulia) katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria. Al Ahly ilishinda 2-1 na kutinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kulazimisha sare ya 1-1 Dar es Salaam
    Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akipambana na mchezaji wa Al Ahly (kulia) katika mchezo huo
    Wachezaji wa Yanga na Al Ahly usiku wa jana Uwanja wa Borg El Arab; Tazama video ya mabao ya jana chini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA AL AHLY KATIKA PICHA NA VIDEO JANA CAIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top