Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, April 27, 2016

  HUYU JAMAA NI SHIDA SANA MKWAKWANI INAPOCHEZA COASTAL!

  Mwenyekiti wa zamani wa Coastal Union, Ally Ahmed 'Aurora' akiongea kwa ishara Jumapili Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya timu yake na Yanga. Mchezo huo ulivunjika dakika ya 110 wakati Yanga inaongoza 2-1, kufuatia mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: HUYU JAMAA NI SHIDA SANA MKWAKWANI INAPOCHEZA COASTAL! Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top