• HABARI MPYA

    Thursday, April 21, 2016

    MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0 ENGLAND

    Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney (kulia), akiwania mpira dhidi ya Lee Chung-yong wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Old Trafford. United imeshinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Damien Delaney aliyejifunga dakika ya nne na Matteo Darmian dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top