• HABARI MPYA

    Saturday, April 09, 2016

    NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA

    MWANAMUZIKI maarufu wa dansi nchini, Ndanda Kosovo (pichani kulia) amefariki dunia leo asubuhi baada ya kuugua kwa siku chache. 
    Saluti5.com wamemnukuu mtu wa karibu wa Ndanda, Cardinal Gento akithibitisha kifo cha mwimbaji huyo wa zamani wa bendi ya FM Academia na Stono Musica.
    Ndanda amefariki katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu juzi kutokana na matatizo ya tumbo. Taarifa zaidi, fuatilia Saluti5.com
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top