• HABARI MPYA

    Friday, April 15, 2016

    AZAM VETERANS HAIANGALII SURA, INAPIGA TU!

    Mshambuliaji wa Azam Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' akimlamba chenga beki wa Gerezani FC katika mchezo wa Kundi B michuano ya JMK Centre usiku wa Alhamisi Uwanja wa JMK Centre, zamani Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Azam Veterans ilishinda 1-0, bao pekee la Popat dakika ya 11
    Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Gerezani FC
    Mshambuliaji wa Azam Veterans, Salim Aziz 'Ryad Mahrez' (kulia) akiwatoka mabeki wa Gerezani FC
    Winga wa Azam Veterans, Philipo Alando 'Pipo' akimlamba chenga ya hatari mchezaji wa Gerezani FC (kulia)
    Kiungo wa Azam Veterans, Amir Rashid 'Kikwa' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Gerezani FC
    Kikosi kamili cha Azam Veterans kabla ya mchezo huo uliochezwa sambamba na mvua

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM VETERANS HAIANGALII SURA, INAPIGA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top